ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 18, 2015

MAENDELEO YA PROJECT YA T.E.S NDANI YA UNIVERSITY OF THE DISTRICT OF COLUMBIA


Machine ya kukaushia matunda na samaki kwenye shamba la University of the District of Columbia huu ndiyo muonekano wake hadi sasa baada ya kuanza kuleta picha ya kuwa tayari kufanya kazi katikati ya mwezi ujao. Machine hii ni maalum kwa ajili ya wanafunzi wa chuo hicho.
Hii ndiyo computer itakayoendesha mashine mzima ikisubiri kufungwa
 Manager wa project bwana William alianza kutoa plastic hili aone itaonekana vipi baada ya kukamilika.
 Engineer na designer wa machine hii  Dr Temba akipata ukodak na bwana William mbele ya mlango wa machine hiyo.


No comments: