MKE WA BILLIONEA MENGI K-LYIN AAMUA KUBADILI JINA MARA BAADA YA KUFUNGA NDOA NA MH. MENGI
She changed her name from Jacqueline Ntuyabaliwe to Jacqueline Mengi....... "Life isn't happening to you; life is responding to you."-this is her new tagline on Instagram
Hee jamani Ingilishi ni lugha ya wenzetu...mbona umeivalia njuga...off kozi lazima nikushangae! Holly crap Haya ngoja tuache wenye kujua ingilishi ...napita tuu haujambo lakini mwenzetu mthungu
6 comments:
Pesa bwana unafanya unvyotaka .ajalishi mzee wala nini,off kozi huyu akaishapata anavyovitaka ,ataanza atatafuta ,saizi ,yake,,wanawake,
You need to learn how to write. You can't even spell of course? Holly crap
And you can't spell HOLY crap.LOL
heshima pesa....wanaume wasio nazo na wale wabahili ni headache tu
Shikamoo pesa,mwanaume kuwajibika bwana,wanaume wengi siku ovyooooo,wabahiiiiiili,sio kama zamani ,ni shida tupu
Hee jamani Ingilishi ni lugha ya wenzetu...mbona umeivalia njuga...off kozi lazima nikushangae! Holly crap
Haya ngoja tuache wenye kujua ingilishi ...napita tuu haujambo lakini mwenzetu mthungu
Post a Comment