Mchungaji Wilbert Nfubhusa akiongoza mkutano wa kiroho siku ya Ijumaa April 17, 2015 mkutano ulioanza siku ya Alhamisi April 16, 2015 katika kanisa la Wasabato lililopo mtaa wa Lockwood Silver Spring, Maryland na kuhudhuriwa na Watanzania kutoka majimbo mbalimbali hapa Marekani. Leo Jumamosi April 18, 2015 Mhe. Balozi Liberata Mulamula anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano huo unaotarajiwa kumalizika siku ya Jumapili April 19, 2015.
Mchungaji Dr. Herry Mhando (kati karibu na kamera) akiendesha sala maalum kwa Wasabato Watanzania wanaoishi nchini Marekani waliohudhuria mkutano wa kiroho uliofanyika siku ya Ijumaa April 17, 2015 Silver Spring, Maryland.
Wanakwaya wakitumbuiza
Washareheshaji wakifafanua jambo.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment