|
Mch Wilbert Nfubhusa |
Katika WAZO LA JIONI hii ya leo (Aprili 17, 2015), Mch Wilbert Nfubhusa
ameendelea kuzungumzia kuhusu WAZO KUU la Mkutano huu ambalo ni KUFANANA
NA YESU
Pia, alielezea ushuhuda aliosimuliwa na wakimbizi toka Burundi
Japo unafurahisha, lakini unafunza sana
KARIBU
No comments:
Post a Comment