ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 23, 2015

MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU... Mzee Ali Hassan Mwinyi Mgeni Rasmi

MKUTANO KUANZA ASUBUHI, HOWARD UNIVERSITY (9:00AM-5:00PM)  NA TAMASHA JIONI HOLLYWOOD BALLROOM (7:00PM-12:00 AM))
Njoo ujumuike na wapenzi wa Lugha ya Kiswahili na kupata chakula cha Kiafrika, vinywaji, burudani ya muziki kutoka kwa gwiji Master DJ Luke na maonyesho kadhaa ya wasanii, wakiwemo Anna Mwalaghona AJ Ubao, katika Tamasha la kipekee Washington DC, April 23, 2015.
 Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
MHESHIMIWA ALHAJ ALI HASSAN MWINYI, RAIS MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,  KUWA MGENI RASMI APRIL 23, 2015.

MKUTANO KUANZA ASUBUHI, HOWARD UNIVERSITY (9:00AM-5:00PM)  NA TAMASHA JIONI, HOLLYWOOD BALLROOM (7:00PM-12:00 AM)

ANUANI KAMILI YA MAHALI PA KUFANYIA MKUTANO 

Howard University
Blackburn University Center

2397 6th Street, NW
Washington DC 20059

Vyumba vya kufanyia mkutano:
Gallery Room & Hill Top Lounge
MKUTANO UNAANZA SAA TATU KAMILI NA MGENI RASMI ATAFUNGUA MKUTANO SAA NNE ASUBUHI.

Njoo ujumuike na wapenzi wa Lugha ya Kiswahili na kupata chakula cha Kiafrika, vinywaji, burudani ya muziki kutoka kwa gwiji Master DJ Luke na maonyesho kadhaa ya wasanii, wakiwemo Anna Mwalaghona AJ Ubao, katika Tamasha la kipekee Washington DC, April 23, 2015.

Nunua tiketi yako kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411 (Tumaini), 301-793-2833 (Asha) na 202-830-6555 (Dr. Magembe) kununua tiketi yako mkononi.

BADO KUNA TIKETI CHACHE - WAHI MAPEMA USICHELEWE - PIGA SIMU LEO

TIKETI HAZITAUZWA MLANGONI.

JIONI NI CASH BAR

No comments: