Bi. Loveness Mamuya ambaye ni mratibu wa matawi ya CCM nchini Marekani akiwa katika picha ya pamoja na Mbunge mtarajiwa Jimbo la Kawe Bwn. Gabriel Munasa siku ya Jumamosi April 18, 2015 nyumbani kwake mji wa Odenton, Maryland alipowaandalia nyama choma ya nguvu.
kutoka kushoto ni Loveness Mamuya, Gabriel Munasa, Kelvin Mbogo na Dr. Secelela Malecela wakifurukutwa na chama cha CCM walipopata ukodak na bendera ya chama.
Mwenyekiti wa Vijana CCM mkoa wa Katavi Bwn. Kelvin Mbogo nae akipata ukodak moment.
Mbunge mtarajiwa kwa tiketi ya CCM jimbo la Kawe Gabriel Munasa katika picha.
No comments:
Post a Comment