Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo. Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana. Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu wanapomkashifu kwa kuwa ata yeye ili swala lina muumiza sana.
|
6 comments:
HAHAHAHAHA ETI NILIKUWA MDOGO SANA, UNGEKAA USINGEKIMBILIA WANAUME LAKINI ULIKUWA MKUBWA NDIO MANA MIMBA ILIINGIA HAYA SASA USHAKUWA HAMNA CHA MIMBA WALA TUMBO, MABINTI TULILIE KUJITAMBUA NA SIO BAHATI, POOR WEMA
Dada Wema jaribu kutoka nje ya nchi kuna fertility clinics za uhakika. Inawezekana ni kitu kidogo sana kinatakiwa kufanywa ili uweze kupata ujauzito. ALL THE BEST.
Wewe anony wa kwanza acha roho mbaya! This could be your sister. Tuache maneno makali kwani hakuomba kuwa na tatizo hilo. Toa ushauri au mpe pole.
kutoa mimba 1 tu kunaweza sababisha kovu kwenye kizazi ambalo litafanya inakuwa ngumu nyingine kushika
Binti wema, jaribu kuweka vitu vyako vya maisha yako siri vitu vingine unaropoka tu.sijui utajakuwa mwanamke wa namna gani hata kama kuna kijana angependa kukuapproach, kweli watasita hufai you talk too much,ujinga mtupu sijui ni umri au kutokwenda shule. Binti nenda shule ili upeo wako upanuke zaidi.pia mama yako anatakiwa kukuweka chini akufunde zaidi
Wewe anonymous 9.49 usilete mambo yako ya kijinga hapa kwahiyo unafurahi kutoa mimba au nawewe ndio kundi moja hovyooo aya sasa umri huo na mtoto hapati alafu mnakalia nenda nje ya nchi mavi na kipindi hiko cha mimba hakuanza kujichoma misindano ndio mana iliingia but toka aanze plstic surgery mayai kayachoma, alafu unakaa kwenye media unaropoka keep your mouth shut...
Post a Comment