Kwa mtaji huu basi ndugu zetu wanaendelea kufupishwa maisha kila siku dreva wa basi anaona kabisa hapa kuna mlima na kuna kona lakini bado ana ladhimisha kumpita mwenzie bila kujali usalama wa abiria ndani ya basi.
Hapa dreva wa basi anachokifanya ni uvunjaji wa sheria bila hata kujali watu waliondani ya basi hili
Madreva kama awa ni hatari sana kwa usalama wa abiria pata picha hapa nini kingetokea na basi hili la abiria na gari hili ndogo.
1 comment:
serikali inapaswa kuchukua hatua kali kwa madereva na wamiliki wa mabasi haya
Post a Comment