JUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAWAKARIBISHA KUJUMUIKA NA
MHE.MSTAAFU RAIS ALI HASSAN MWINYI,
KATIKA KUADHIMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO
JUMAMOSI TAREHE 25 Aprili 2015
SHEREHE HIZO ZITAAMBATANA NA
BBQ SAA 8:00 MCHANA NA KUFWATIWA NA
MECHI YA MPIRA KATI YA TANZANIA BARA NA VISIWANI SAA 12:30 JIONI
ANUANI 8001 WALKER MILL RD,DISTRICT HEIGHTS MD,20747
SHUKRANI KWA WADHAMINI THE PEOPLE’S BANK OF ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment