Kutoka kushoto ni Mwanasheria wa Shirika Bima la Taifa (NIC) Verdiana Macha,Kaimu Mkurugenzi wa Shirika Bima la Taifa (NIC),Sam Kamanga,Mkurugenzi wa wakala wa majengo ya serikali,Bartazar Kimangano na Mkurugenzi wa utafiti na Maendeleo Asha Myanza wakisaini mikataba ya mauziano ya nyumba zilizopo eneo la Buhire wilayani Musoma leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga akimkabidhi mikataba ya mauziano ya nyumba zilizopo Buhire wilayani Musoma Mkurugenzi wa wakala wa majengo ya serikali,Bartazar Kimangano, katika ofisi za shirika hilo leo jijini Dar es Salaam.PICHA NA AVILA KAKINGO.
No comments:
Post a Comment