ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 22, 2015

VIONGOZI WA ACT-WAZALENDO WATINGA NYUMBANI KWA BABA WA TAIFA

 Mtoto wa Hayati baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Andrew Nyerere, akiteta jambo na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na kuvaa kofia ya Chama cha ACT-Wazalendo wakati viongozi wa chama hicho walipofanya ziara kijijini Mwitongo Wilayani Butiama. (Picha na Said Powa)
Mtoto wa Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Andrew Nyerere, akimkabidhi kofia ya CCM, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na kuvaa kofia ya Chama cha ACT-Wazalendo wakati viongozi wa chama hicho walipofanya ziara kijijini Mwitongo Wilayani Butiama.

No comments: