WATU 19 WAMEFARIKI KATIKA AJALI YA HIACE KIWIRA MBEYA
Kwa habari zilizotufikia hivi punde kutoka Mkoani Mbeya zinasema kuwa Watu 19 wamefariki dunia baada ya Hiace waliokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka maeneo ya Kiwira wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi.
No comments:
Post a Comment