Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa akisalimiana na Mhe. Abdulwahab A. Al-Bader, Mkurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait mara baada kuwasili ofisini kwake kwa mkutano siku ya Jumatano tarehe 15 Aprili 2015.
Mhe. Bernard Membe akiwa kwenye picha ya pamojan na Abdulwahab A. Al-Bader, Mkurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (kati) pamoja na Balozi Yahya Simba, Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Wizara ya Mambo ya Nje.
: Waziri Membe akiwatambulisha wajumbe alioongozana nao kwenye kikao hicho kilichofanyika Kuwait City siku ya Jumatano tarehe 15 Aprili 2015.
Mhe. Abdulwahab A. Al-Bader, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait akipokea maelezo kuhusu Benki ya Maendeleo ya Tanzania kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo Bw. Peter Noni ambaye aliongozana na Mhe. Membe kwenye mkuano huo.
Kikao kikiendelea
No comments:
Post a Comment