ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 18, 2015

Ana kwa Ana na Nape Nnauye Pt I

Karibu kwenye sehemu ya kwanza kati ya mbili za mahojiano yetu na Katibu Uenezi na Itikadi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania.
Ameeleza mengi akianza na Hali ya chama hivi sasa.
KARIBU

1 comment:

Anonymous said...

Kwa kweli tunapoenda kama CCM wataendeleza mwenendo huu hata Burundi watatupita kimaendeleo. Politics vs Accountability.