mwalimu nyerere mungu akubariki sana tena sana huko ulipo.Amen,amen,amen.PUMZIKA KWA AMANI KIPENZI CHETU CHA WANYONGE TUSIO NA HAKI NA PESA.
ulishawaona hawa wahaya tako zamani wanaukabilia si siri tena wanajiona na masifa sifa ya kijinga jinga sana.
mwalimu kwa kweli uliweza kuwadhibiti hawa jamaa na tabia yao mbaya hii ya ukabila lakini mwalimu ungekuwa hai ungesikitika na Tanzania yetu ya sasa.
1.ufisadi wakila aina na uoza mbovu wa maadili ya wakuu wetu umekithiri;kuna mpasuko mkubwa wa walio nacho na wasio nacho hoe hae
2.ukabila umejaa;tena hawa jamaa/wahaya wanajisifu bila aibu na ukabila wao.akiwa mkuu basi anawajaza ndugu na jamaa zake tele kwenye idara yake hata mfagizi anakuwa mhaya.hata watch dog naye anakuwa katoka mkoani kwao.
3.anasa ngono nje nje bila aibi na ndo mpango mzima wa kimaisha ya watanzania hivi sasa;vijana hawajitambui na hata wakijitambua wanamezwa na wale mafisadi walio vaa ngozi za kondoo huku ndani ya mwili wao ni chui
4.elimu haeleweki,ma bumbubu ndo wanaonekana ndo wa maana kisa wana kitu/pesa wasomi wanaonekana hawana maana.
5.Rushwa iko nje nje uliye na haki yako utanyimwa kisa huna kitu kapuku/huna pesa na asiiye na haki atapewa kisa ana pesa/anacho kitu. hata ajira kwa kujuwana siku hizi jinsi rushwa inavyoshika hatamu.
yani mwalimu ujinga ujinga mwingi sana umetujalia katika nchi yetu ungekuwa hai nadhani bila ya shaka ungekufa tena mwalimu kwa kuona hali ya watanzania ilivyokuwa inasikitisha kupita maelezo.
2 comments:
NANI? MKAPA NA SKENDO YA IKWIRIRI? UNLESS YOU ARE AMONG THE BRAINWASHED SOCIETY BY SOMEONE WHO NEVER BEEN RIGHT MOST OF THE TIME
mwalimu nyerere mungu akubariki sana tena sana huko ulipo.Amen,amen,amen.PUMZIKA KWA AMANI KIPENZI CHETU CHA WANYONGE TUSIO NA HAKI NA PESA.
ulishawaona hawa wahaya tako zamani wanaukabilia si siri tena wanajiona na masifa sifa ya kijinga jinga sana.
mwalimu kwa kweli uliweza kuwadhibiti hawa jamaa na tabia yao mbaya hii ya ukabila lakini mwalimu ungekuwa hai ungesikitika na Tanzania yetu ya sasa.
1.ufisadi wakila aina na uoza mbovu wa maadili ya wakuu wetu umekithiri;kuna mpasuko mkubwa wa walio nacho na wasio nacho hoe hae
2.ukabila umejaa;tena hawa jamaa/wahaya wanajisifu bila aibu na ukabila wao.akiwa mkuu basi anawajaza ndugu na jamaa zake tele kwenye idara yake hata mfagizi anakuwa mhaya.hata watch dog naye anakuwa katoka mkoani kwao.
3.anasa ngono nje nje bila aibi na ndo mpango mzima wa kimaisha ya watanzania hivi sasa;vijana hawajitambui na hata wakijitambua wanamezwa na wale mafisadi walio vaa ngozi za kondoo huku ndani ya mwili wao ni chui
4.elimu haeleweki,ma bumbubu ndo wanaonekana ndo wa maana kisa wana kitu/pesa wasomi wanaonekana hawana maana.
5.Rushwa iko nje nje uliye na haki yako utanyimwa kisa huna kitu kapuku/huna pesa na asiiye na haki atapewa kisa ana pesa/anacho kitu.
hata ajira kwa kujuwana siku hizi jinsi rushwa inavyoshika hatamu.
yani mwalimu ujinga ujinga mwingi sana umetujalia katika nchi yetu ungekuwa hai nadhani bila ya shaka ungekufa tena mwalimu kwa kuona hali ya watanzania ilivyokuwa inasikitisha kupita maelezo.
hawa watu kwa ukabila wameniacha hoi
Post a Comment