Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameandika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni, bila shaka na wewe ANAKUJUA.
Mnaonipa Moyo na Kunipenda kiukweli....NAWAJUA
Wakuongea Nao Ya Moyoni....NAWAJUA
Wale wa kuni baby baby on IG kumbe Hakuna lolote....NAWAJUA
Wale mnajifanya shoulders to cry on ili mpate kunijua kirahisi...NAWAJUA ila SIWEZI KUWAPA HIYO CHANCE AISEEE...I'm Soleeeeee
Wale tunaochekeana kinafki...NAWAJUA I hope MNANIJUA PIA yani TUNAJUANA
Wale Waukweli kbsa ....NAWAJUA
Wale wa kuwaamini na wale wa kutowaamini....NAWAJUA
Wale mlio karibu yangu kwa sababu Fulani....NAWAJUA na msiniamini sana Hata mm nimewaruhusu kuwa Karibu yangu kwa sababu zangu flani
Kwa ufupi tu....JUA NAKUJUA
TafakariChukuaHatua
OkyBye"-Lulu on Instagram
1 comment:
Wewe acha kuzingua watu utawamaliza? Unatafuta fedha ukishapata unamaliza mtu kiaina. Je huo ni mzuka ulionao? Huna sifa ua kuisho na mtu kabisa. Pole tumekuzowea.
Post a Comment