ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 18, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA NCHINI CHINA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya maandalizi ya Maonyesho ya Biashara ya China 'Expo Central China 2015', wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa 'Wuhan International Exhibition Centre VVIP Room'. Mkutano huo umeanza leo Mei 18 2015 jijini Wuhan, Jiombo la Hubei.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akiwa na baadhi ya Viongozi wa nchini China, Katibu wa Chama Tawala cha CPC cha Nchini China, Jimbo la Hubei, Li Hongzhong (kushoto) na wengine, wakati alipofungua Maonesho ya Biashara ya China 'Expo Central China 2015', yaliyoanza leo Mei 18, 2015, Jimbo la Hubei, Jijini Wuhan nchini China.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Maonesho ya Biashara ya China, 'Expo Central China 2015', ulioanza leo Mei 19, 2015 kwenye ukumbi wa mikutano wa 'Wuhan International Exhibition Centre, uliopo Jijini Wuhan Jimbo la Hubei nchini China
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na Katibu wa Chama Tawala cha CPC cha Nchini China, Jimbo la Hubei, Li Hongzhong (kushoto) wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Biashara ya China 'Expo Central China 2015'.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza wa na Katibu wa Chama Tawala cha CPC cha Nchini China, Jimbo la Hubei, Li Hongzhong, baada ya kuzungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa China, Wang Yang, wakati walipokutana kwa mazungumzo baada ya Makamu kufungua rasmi Maonesho ya Biashara ya China, leo Mei 18, 2015 kwenye Ukumbi Mikutano wa 'Wuhan International Exhibition Centre, jijini Wuhan Jimbo la Hubei nchini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Maonesho ya Biashara ya China, 'Expo Central China 2015', ulioanza leo Mei 19, 2015 kwenye ukumbi wa mikutano wa 'Wuhan International Exhibition Centre, uliopo Jijini Wuhan Jimbo la Hubei nchini China. Picha na OMR




MakamuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal leoJumatatu Mei 18, 2015 amehutubiakatikamaoneshoyaBiasharakwaUkandawa Kati wa China, Maoneshoyaliyofanyikakatikamjiwa Wuhan akiwamgeniMwalikwa. Maoneshohayayanajumuishamijimbalimbaliyaukandawa Kati wa China nayanalengakuunganishafursazaBiasharanaUwekezajindaniya China nanjeyanchihiyo. KatikaHotubayakeyaufunguziwaMaoneshohayo, NaibuWaziriMkuuwa China Wang Yang aliwaelezamamiayawaliohudhuriasherehezaufunguziwamaoneshohayokuwa, China inafunguafursampyanainahitajikuonamaeneoyoteyanchiyanakuwanamaendeleoyanayokaribiananaakaongezakuwa,fursazabiasharanauwekezajizipopiakatikanchizinginehasa Bara la Afrikaambaloni Bara lenyeurafikinaukaribuna China kwamudamrefu.

NaibuWaziriMkuuhuyoaliongezakuwa, amefurahikuonanchikadhaazimewakilishwakatikamaoneshohayonaakaelkezakuwauwepowamgeniMwalikwayaaniDkt. Bilal kunaoneshaudhatiilionao China kuhusumahusianoyakenaAfrikanaakawatakawawekezajiwaliohudhuriasherehehizokutambuakuwamahusianoya China naAfrikayatakuwayenyemanufaa pale watakapotumiafursazauwezowaokatikamitajikuwekezakatikaAfrikakwanimazingirayabarahilonirafikikwa China.

KatikahotubayakekamaMgeniMwalikwa, MakamuwaRaisDkt. Bilal alifafanuakuwa, China imekuwarafikiwakaribunandugukwanchimbalimbalizaAfrikahivyobasi,kunakilasababukwa China kuendeleakuwekezakatikaAfrikahasakatikaviwandakwakuwakufanyahivyositukwambakutanyanyuauchumiwapandezotembili,balipiakutaongezamahusianoyanchizaAfrikana China.

Kupitiampango wake wakuendelezaviwandaBaraniAfrika, China imepitishanchiza Kenya Ethiopia na Tanzania kuwazamfanobaraniAfrikanakwasababuhiyo, MheshimiwaMakamuwaRaisaliwatakawawekezajikutoka China kuja Tanzania kwakuwazipofursaambazohazijatumikanakwambahaliyakimaishabainaya China naAfrikayanakaribianahivyonirahisikwawekezajiwanaotoka China kuwekezaAfrika.Piazlizungumziauhusianowa Tanzania nanchizaAfrikaMasharikinaKusinimwaAfrikakuwanisababunyingineyaKijiografiainayosababisha Tanzania kuwaeneo bora kabisakuwekezakwasasakulinganisha nan chi nyinginezaUkandahuuwaAfrika.

KatikahatuanyingineMheshimiwaMakamuwaRaisalipatafursayakufanyamazungumzonaNaibuWaziriMkuu Wang Yang,ambapokatikamazungumzohayoMheshimiwaMakamuwaRaisalizungumziauhusianobainayanchizetumbilinahasamradiwaBandariyaBagamoyosambambanafursazakepundeutakapokamilika. Piaalizungumziaumuhimuwa China kutazamanamnayakuisaidia Tanzania katikautanuajiwamatumiziyamkongowamawasilianonaeneozimayaTeknolojiayaHabarinaMawasiliano, hukupiaakigusiamradiwaujenziwaUwanjawandege Zanzibar, mradiambaoumekuwaukikabiliwanavikwazokadhaanaakasisitizakuwaniwakativikwazohivyoviishenamudawakuukamilishaujenziufikie. Katikamazungumzoyakepiaalizungumziasuala la Reliya TAZARA ambapoalielezakuwepoumuhimuwapandezotetatuzinazohusikakatikarelihiikukaanakutafutanamnayakuiimarishailiiwezekuendananachangamotozasasakulikoilivyosasa.

Kwaupande wake NaibuWaziriMkuu Wang wakatiakijibuhojazaMheshimiwaMakamuwaRaisalifafanuakuwa, China inaowataalamwenyeuwezowakufanyatathiminiyafidiakwawakaazinahivyoinawezekananchizetukukubalianakuwatumiailikujuanamnayakukabiliananasuala la fidiakwawakazihasawaBagamoyoiliwawezekuachiaeneohilolitumikekwaujenziwaBandari. Piaalifafanuakuwa China inapendakuonanchiza Tanzania, Zambia na China zinakaamezamojayamazungumzoilikujadilikwa kina namnayauendelezajiwaReliya TAZARA nakwambamazungumzohayoyakifanyikanidhahirikuwaRelihiyoitakuwayamanufaakwamiakaminginemingiijayo.

MheshimiwaMakamuwaRaisyuponchini China kwaziaramaalumyakikaziambapoataikamilishakeshokutwakwakukutananaMakamuwaRaiswa China ambayendiyeMwenyeji wake katikaziarahii. MakamuwaRaispiaameambatananaWaziriwaMawasilianoSayansinaTeknolojia, MheshimiwaProfesaMakameMbarawa, WaziriwaViwandanaBiasharaMheshimiwaDkt. AbdallahKigodanaWaziriwaElimunaMafunzoyaAmalikutoka Zanzibar Mheshimiwa Ali JumaShamhuna. MwingineniNaib u Waziriwa Mambo yaNjenaUshirikianowaKimataifa, MheshimiwaMahadhiJumaMaalim.

Imetolewana: OfisiyaMakamuwaRais

Wuhan, China Mei 18, 2015


No comments: