ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 18, 2015

MSIBA DMV NA TANZANIA

Familia ya Emmanuel Nnko na Bi Hawa Kachingwe wa Hyattsville, Maryland nchini Marekani Wanasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mama mzazi wa Emma (Akunda Nnko) kilichotokea Dar es salaam, Tanzania siku ya jumapili May 17, 2015. Mipango ya mazishi inafanywa na marehemu anatarajiwa kusafirishwa kwenda Arusha kwa mazishi .

Kupeana pole na kufarijiana ndio ustaarabu wetu upatapo nafasi usisite kujumuika na wafiwa nyumbani 3837 Hamilton st, apt # 302
Hyattsville MD 20781
Kwa mchango wako unaweza kuchangia kwenye Account ya Hawa Kachingwe
Number 44603084661 Bank of America
Ama, Account # ya Emmanuel Nnko
4278165191 TD Bank

Kwa maelekezo na maelezo zaidi unaweza kupiga simu
Kwa Emmanuel Nnko 202-460-8638
Hawa Kachingwe 240-696-9392
Peace Kachuchuru 301-367-6378
Emmanuel Kaisi 202-243-8077

“Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina la bwana libarikiwe”.

No comments: