Msanii wa Bongo Flava Cassim Mganga akitia nanga bandari ya Zanzibar alipowasili leo kwa show inayosubiliwa kwa hamu iliyobeba jina la Subira Concert itakayowashirikisha wasanii wengine kama Amiry Milli na Baby J Ndani Ya Zanzibar Leo Jumamosi May 16, 2015 katika ukumbi wa Gymkana Club.
Msanii wa Bongo Flava Cassim Mganga akiingia kwenye gari tayari kwa safari ya kuelekea kwa mweyeji wake.
Msanii Cassim Mganga akiwasili na huku akipata picha nje ya studio ya kituo cha radio cha Bomba FM ambao ndio waandaaji wakuu wa
show inayosubiliwa kwa hamu iliyobeba jina la Subira Concert itakayowashirikisha wasanii wengine kama Amiry Milli na Baby J.
Msanii wa Bongo Flava CassimMganga akisalimiana na mwenyeji wake Dj Gulu G. Lover.
No comments:
Post a Comment