ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 18, 2015

RAIS NYUSSI AKUTANA NA RAIA WA MOZAMBIQUE WANAOISHI TANZANIA

Rais wa Mozambique, Filipe Nyussi akiangalia vikundi vya ngoma.
Raia wa Msumbiji akifuatilia kwa makini hotuba ya Rais wa nchi hiyo alipokutana na wananchi wa Msumbiji wanaoishi Tanzania katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
 Rais Filipe Nyussi akiwasalimia wananchi wa Mozambique waishio Tanzania.
 Wananchi wa Mozambique wanaoishi Tanzania wakiwa katika mkutano na Rais wa nchi yao, Filipe Nyussi ambaye yupo Tanzania kwa ziara ya siku tatu.
Rais Filipe Nyussi wa Mozambique akizungumza na wananchi wa Jamhuri ya Mozambique wanaoishi Tanzania wakati wa ziara yake ya siku tatu nchini Tanzania.

1 comment:

Anonymous said...

Tanzania ina wageni wengi sana!! Je tumewaoredhesha vipi na kuhakiki kila ushiriki wao ni kwa faida ya uchumi wa Tanzania?? Maajabu. Hao ni msumbiji tu achilia Rwanda, Burundi , Waganda Ethiopia wanaomiminika hata kwa malori! WaSomali ndio kabisa usiseme na hizo biashara Kariakoo. Bado Serikali imelala usingizi tukubali..