ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 18, 2015

TAIFA STARS YAENDELEA KUJIFUA TAYARI KWA KUWAKABILI SWAZILAND

Kocha mkuu wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Mart Nooij akiendelea kuwafua vijana wake ikiwa ni muendelezo wa mazoezi katika uwanja wa Royal Bafokeng kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland, utakaopigwa jioni ya leo Mei 18,2015.
Wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa Stars) wakiendelea kujifua katika uwanja wa Royal Bafokeng kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland, utakaopigwa jioni ya leo Mei 18,2015.

No comments: