ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 18, 2015

HARAMBEE YA KUMCHANGIA MOHAMMED (MTOTO WA MAMA MOZA) DMV

Moza(kati) akiongea machache wakati wa harambee ya kumchangia mwanae iliyofanyika siku ya Jumapili May 17, 2015 Silver Spring, maryland. Kushoto ni Mariam na kulia ni Asha Hariz wakifuatilia anachokisema Maza.
WanaDMV wakifuatilia mnada.
WanaDMV wakifuatilia harambee.
Jack (koti la kijani) akimsalimia Moza na kumpa pole ya kuuguliwa na mwanae.
Jack akichangia.
Ali akipokea viatu toka kwa Abou baada ya kuvinunua.
Mnada ukiendelea
Rashid akiwa na familia yake.
Picha zote na Tito Mazali DMV
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi



No comments: