ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 17, 2015

TAMASHA LA UTAMADUNI LAFANA JAPAN

Mtanzania Jumanne akiwa na familia yake walipohudhuria tamasha la utamaduni lililofanyia kuanzia May 9 mpaka May 10 katika viwanja vilivyopo Machida, Tokyo nchini Japan na kushirikisha nchi mbalimbali kuonyesha tamaduni zao ikiwemo mavazi. vyakula na mambo mengine mengi yahusuyo utamaduni.
Mtanzania Shaban akiwa na mama mwenye nyumba wake walipohudhuria maonesho hayo.
Kikundi cha Tinga tinga toka Tanzania nao wakionyesha michoro yao.
Moja ya familia ya Kitanzania ikihudhuria tamasha hilo.
Wadau wakipata picha kwenye moja ya banda la Tanzania.
Models wakipata picha ya pamoja 
Picha zote na Mariam Mwakilishi wa Vijimambo Japan
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


1 comment:

Anonymous said...

mambo vp Mariam jp