ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 27, 2015

ANWAR RAMADHAN AKAMATA NONDO, NEW YORK NCHINI MAREKANI

Naibu mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Matifa Mhe. Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mwanae Anwar Ramadhan baada ya kutunukiwa shahada yake ya kumaliza High School shule ya New Rochelle jimbo la New York 
Naibu mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Matifa Mhe. Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja wanae Anwar Ramadhan Lutfia Ramadhan(kulia) na Arif Ramadhan (kushoto) baada ya kutunukiwa shahada yake ya kumaliza High School shule ya New Rochelle jimbo la New York
 Nondo ya Anwar Ramadhan

1 comment:

Anicetus said...

Congratulations Mr Anwar Ramadhani: Education is POWER!!!!.. Follow the footsteps of your parents and adviser until you get to the highest peak of education status- Ph.D in any subject of your interest.