ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 27, 2015

DK SHEIN ALIPOHUDHURIA UFUNGAJI WA BARAZA LA NANE LA WAWAKILISHI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride maalum la Kikosi cha Polisi akiongozwa na SP Ali Abdalla Kitole wakati wa Ufungaji wa Baraza la Wawakilishi la nane huko Chukwani jana Nje ya Mji wa Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni alipofika katika Ofisi za Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi jana alipohudhuria kulifunga Baraza la nane la Wawakilishi la Zanzibar.
Mpambe wa Baraza la Wawakilishi Mohammed Bilali akiwaongoza Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Pandu Ameir Kificho, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambaye ndio mgeni rasmi, pamoja na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamadi wakiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wakati Ufungaji wa Baraza hilo la nane jana.


Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Pandu Ameir Kificho alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na wajumbe wa Baraza hilo pamoja na kulifunga rasmi Baraza la nane la Wawakilishi katika ukumbi wa Baraza Chukwani jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Baraza la nane la Wawakili wa Zanzibar jana,huko Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi jana Chukwani Wilaya ya magharibi Unguja.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambao ni Mawaziri wa Wizara mbali mbali akiwepo Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Said Hassan Said wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi jana Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi jana Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambao ni Mawaziri wa Wizara mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi jana Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambao ni Mawaziri wa Wizara mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi jana Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.
Watendaji wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja wakimsikiza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Baraza la nane la Wawakili wa Zanzibar jana.
Watendaji wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja wakiwepo na wawakilishi wa Ofisi za Ubalozi na Mashirika ya Kimataifa wakimsikiza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Baraza la nane la Wawakili wa Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Pandu Ameir Kificho(katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbali mbali na Wajumbe wa Baraza hilo baada ya kulifunga rasmi Baraza la nane Wawakilishi jana huko Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja,[Picha na IKulu.] 

No comments: