Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Mhe.Amina Salum Ali akifanyiwa mahojiano na Hudson Kamoga katika kipindi cha 360 cha Clouds TV kinachokua hewani kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12 mpaka saa 3 asubuhi. Balozi Amina Salum Ali ndiye mgombea mwanamke pekee aliyetangaza nia ya kuwania urais kupitia tiketi ya CCM.
Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Mhe.Amina Salum Ali akijinadi katika mahojiano aliyofanyiwa na mtangazaji Hudson Kamoga (hayupo pichani) katika kipindi cha 360 cha Clouds TV.
Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Mhe.Amina Salum Ali akifanyiwa mahojiano na Joyce Kiria (hayupo pichani)katika kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa katika luninga wa East Africa (EATV)
Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Mhe.Amina Salum Ali akifanyiwa mahojiano na Joyce Kiria katika kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa katika luninga wa East Africa (EATV) katika kujinadi kuwania nafasi ya Urais kupitia CCM.
No comments:
Post a Comment