ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 12, 2015

DK JOHN MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI KUWANIA URAIS MIKOA YA KAGERA,MARA NA MWANZA

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Musoma.
Zoezi la udhamini katika wilaya ya Magu likiendelea huku Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli akifatilia kwa makini.
Zoezi la udhamini katika wilaya ya Musoma mkoani Mara likiendelea.
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wadhamini wake Wilayani Musoma mara baada ya kukabidhiwa fomu zake kutoka kwa katibu wa CCM Wilaya ya Musoma.
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Kagera.
Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli akisalimiana na baadhi ya wadhamini wake waliojitokeza Wilayani Magu kwa ajili ya kumdhamini.

No comments: