KUPUNGUZA MIMBA ZA UTOTONI SHULE YA SEKONDARI KISHUMUNDU ILIYOPO WILAYA YA MOSHI
|
Mkuu wa mkoawa Kilimanjaro Leonidas Gama
akisalimiana na baadhi ya wananchi wakati alipowasili katika shule ya
sekondari Kishumundu kwa ajili ya hafla fupi ya makabidhiano jengo la
Bweni la wasichana lilojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa
Tanzania ,(TANAPA). |
|
Viongozi mbalimbali walioambatana na Mkuu wa
Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama pamoja na wanafunzi wa shule ya
sekondari Kishumundu wakiimba wimbo wa Tanzania wakati wa hafla ya
makabidhiano ya jengo la Bweni la wasichana lilojengwa kwa ufadhili wa
Hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA.
|
|
Baadhi ya wananchi waliofika kushuhudia
makabidhiano hayo. |
|
Wafadhili wa shule ya sekondari Kishumundu
iliyopo wilaya ya Moshi wakisalimia mara baada ya kutambulishwa katika
hafla hiyo. |
|
Mhifadhi mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima
Kilimanjaro,Erastus Rufunguro akizungumza katika hafla ya makabidhiano
ya Bweni la wasichana ambalo ujenzi wake umefadhiliwa na
TANAPA. |
|
Meneja Ujirani Mwema wa Hifadhi za Taifa
Tanzania,TANAPA,Ahmed Mbugi akisalimia katika hafla
hiyo. |
|
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Hifadhi za
Taifa,TANAPA,Ibrahimu Musa akizungumza kuhusu sera ya ujirani mwema
ambayo imekuwa ikifanywa na TANAPA katika kusaidia jamii kwa nyanja
mbalimbali zikiwemo za Elimu,Afya ,Miundombinu n.k |
|
Wanafunzi wa Shule ya sekondari Kishumundu
wakitoa burudani ya nyimbo mbele ya wageni waliofika shuleni hapo kwa
ajili ya makabidhiano ya jengo la Bweni la Wasichana lililojengwa
ufadhili wa TANAPA. |
|
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga
akizungumza wakati wa hafla hiyo. |
|
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
akizungumza wakati wa makabidhiano ya mradi wa jengo la Bweni la
wasichana katika shule ya sekondari Kishumundu,ujenzi uliofadhiliwa na
Hifadhi za Taifa,Tanzania ,TANAPA. |
|
Bweni la wasichana katika shule ya sekondari
ya Kishumundu lilojengwa naTANAPA. |
|
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
akizindua rasmi Bweni la wasichana katika shue ya sekondari
Kishumundu. |
|
RC,Gama akikata utepe kufungua jengo la
Bwenila wasichana katia shule ya sekondari Kishumundu wilayani
Moshi. |
|
Sehemu ya ndani ya Bweni la wasichana katika
shule ya sekondari Kishumundu,Jengo lililojengwa kwa ufadhili wa
Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA). |
|
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya
Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment