ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 27, 2015

RAIS WA ZANZIBAR, DK SHEIN AFUNGA KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya Ufungaji wa Baraza baada ya kumaliza muda wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame, alipowasili katika viwanja vtya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho,alipowasili katika viwanja vya Baraza kwa ajili ya ufungaji.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipokea saluti wakati wa hafla ya ufungaji wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika viwanja vya jengo la Baraza jioni hii.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikagua bwaride maalum la Jeshi la Polisi Kikosi cha FFU, wakati alipowasili kwa ajili ya kufunga Baraza la Wawakilishi Zanzibar baada ya kumaliza muda wake. Kwa hisani ya ZanziNews

No comments: