Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akisalimiana na baadhi ya wananchi wakati alipowasili katika shule ya Sekondari Kishumundu kwa ajili ya hafla fupi ya makabidhiano jengo la Bweni la wasichana lilojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania ,(TANAPA). |
Viongozi mbalimbali walioambatana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama pamoja na wanafunzi wa shule ya Sekondari Kishumundu wakiimba wimbo wa Tanzania wakati wa hafla ya makabidhiano ya jengo la Bweni la wasichana lilojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA. |
Wafadhili wa shule ya Sekondari Kishumundu
iliyopo wilaya ya Moshi wakisalimia mara baada ya kutambulishwa katika
hafla hiyo. |
Wanafunzi wa Shule ya sekondari Kishumundu wakitoa burudani ya nyimbo mbele ya wageni waliofika shuleni hapo kwa ajili ya makabidhiano ya jengo la Bweni la Wasichana lililojengwa ufadhili wa TANAPA. |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akizungumza wakati wa makabidhiano ya mradi wa jengo la Bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Kishumundu,ujenzi uliofadhiliwa na Hifadhi za Taifa,Tanzania ,TANAPA. |
Bweni la wasichana katika shule ya Sekondari ya Kishumundu lilojengwa na TANAPA. |
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akizindua rasmi Bweni la wasichana katika shue ya sekondari Kishumundu. |
RC,Gama akikata utepe kufungua jengo la Bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Kishumundu wilayani Moshi. |
Sehemu ya ndani ya Bweni la wasichana katika shule ya sekondari Kishumundu,Jengo lililojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).Na Dixon Busagaga |
No comments:
Post a Comment