Kwa wale ambao mlikuwa hamfahamu, samahani kwa ujumbe kuwafikieni ukiwa umechelewa. Lakini kama wenzetu wasemavyo, "better late than never".
Jamani shughuli ni watu, na watu ndo sisi. Basi tujumuike tumsaidie Boaz kufanikisha shughuli hii. Asanteni sana.
Kwa habari zaidi na michango yenu, tafadhali wasiliana na mmoja wa hawa:
Boaz Kusaga (bwana arusi) 202-705-7219
Elias Makaya (m'kiti wa kamati) 202-460-1044
Omby Nyongole (katibu wa kamati) 240-595-5100.
Shukrani Magoma (mjumbe wa kamati) 202-607-1976
Margareth Dotto (mjumbe wa kamati) 202-560-0942
1 comment:
Ushirikishwaji kama huu ndiyo tunataka kuuona DMV! Siyo kushirikishana kwenye misiba na shida zingine tu huku tukifanya ubaguzi na kuwashirikisha ndugu na marafiki wa karibu tu kwenye shughuli za furaha.
Post a Comment