Sensei Yoshiro Miyazato Kacho mwenyekiti wa Okinawa Goju Jundokan So Honbu akikabidhi ushahidi wa Dan ya 3 Sensei Rumadha Fundi mjini Naha Okinawa. Sensei Rumadha Fundi anashikilia Dan Dan 3 toka toka vyama viwili vya Gojhu Ryu na Dan 6 toka TKF(Tanzania Karate Do Federation)
Mke wa Kancho Miyazato akimpa mafunzo mtoto wa Sensei Rumadha Fundi anayeitwa Iman.
Sensei Rumadha Fundi akiwa na mwanae Iman wakipata chakula cha jioni na wenyeji wake.
Sensei Ramadha Fundi akipata picha akiwa Jundokan Dojo mjini naha, Okinawa nchini Japan
Sensei Ramadha Fundi akiwa mbele ya kaburi la Master Kanryo Higashionna (Higaonna) ambaye ndiye aliyekua mwanzilishi wa Naha te
No comments:
Post a Comment