TUME NEC YAAHIRISHA KWA MUDA WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA MFUMO WA BVR DAR ES SALAAM NA PWANI
1 comment:
Anonymous
said...
Hizi ni mbinu tosha kabisa za kuhujumu orodha ya walengwa na kuna dalili kabisa za kuiba kura sana kama ilivyo jadi. Watu wasohusika watakuwa wameorodheshwa na kupigishwa kura isivyo na huo ndio mpangonkamilifu uliofanyika kikao maalumu tena usiku wa manane mwezi huu wa June. Na ndipo msemaji.mkuu wa Chama NAPE NNAUYE alipotamka kwenye mkutano kuwa kwa jinsi iwayo watashinda hata kwa wanaloita goli la mkono. Wizi wa kura tu ndio gumzo tupu kwenye vikao vya chama. Tumieni hali kwa kuwaandikisha wapiga kura halisi na haki ya waTanzania itumike.

Post a Comment