ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 8, 2015

WANANCHI WATOA MAONI JUU YA MUWSA KUOMBA KUPANDISHA BEI YA UTOLEWAJI WA HUDUMA YA MAJI KATIKA MJI WA MOSHI.

Viongozi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa mazingira mjini Moshi,MUWSA wakifuatilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama (hayupo pichani) wakati wa utolewaji wa maoni juu ya bei mpya ya huduma ya maji.
Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Moshi waliofika katika ukumbi wa Hindu Mandal kwa ajili ya kutoa maoni.
Mkuu wa mkoa a Kilimanjaro,Leonidas Gama akizungumza katika mkutano huo ulioandaliwa na EWURA.
Mkukaguzi wa hesbu wa  ndani wa Mamlaka ya Maji safi na maji taka mjini Moshi ,MUWSA ,Benson Maro pamojana na Meneja rasilimali watu  wa MUWSA,Michael Konyaki wakichukua kumbukumbu wa yale yaliyokuwa yakizungumzwa katika mkutano huo.
Meneja fedha wa MUWSA ,Jpyce Msiru akichukua kumbukumbu wa mambo mbalimbali yaliyokuwa yakizungumzwa katika kikao hicho  kulia kwake ni kaimu mkurugenzi wa MUWSA .Mhandisi Patrick Kibasa.
Kamu mkurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Patrick Kibasa akitoa hoja juu ya mapendekezo ya bei mpya ya utolewaji wa huduma mpya ya maji.
Watumishi wa MUWSA,Idd Semkunde na Jacob Ollotu wakifutilia mkutano huo/
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi (MUWSA) Sharry Raymond.
Mhandsi ,Patrick Kibasa akitoa ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali yaliyoulizwa na wananchi waliofika katika mkutano huo.
Baadhi ya viongozi kutoka manispaa na watumiaji wa huduma ya maji wakifuatilia kwa makini.
Baadhi ya wananchi waliohudhulia mkutano huo.
Mmoja wa wananchi waliofika kutoa maoni yao aliyefahamika kwa jina la Maulid Darabu akiwasilisha maoni yake katika mkutano huo.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Knada ya Kaskazini.

No comments: