
Wema Sepetu huenda akaingia kwenye siasa kwa kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoani Singida.
Wema Sepetu akiwa na mama yake
Mashabiki wake aka Team Wema wameandika ujumbe:
Nina wazo kwenu nyote. Kwa upendo tuliekuwa nao kwa madame. Naomba tumsuport kwa hali na mali. Kila anae jua anampenda Wema tumchangie ili kampeni yake iende vizuri. Anategemea kuchukua form ya kugombea ubunge viti maalum mkoani Singida tarehe 15/7/2015. Mko tayari tumsuport madame wetu? Naomba mnipe jibu. wazo langu.
Naye meneja wake, Martin Kadinda alipost Instagram picha ya Wema akiwa na nguo za CCM na kuandika: Mbele Kwa Mbele…. #JanaIlikuwaNdotoLeoNimaamuzi #BeTheVoice #inawezekana #2015walktoremmember
10 comments:
Kuwe na Sheria za ubunge sasa this is more crazy to me
TUKUBALI TUKATAE... WE ARE THE NATION OF DUMMIES. GOD HELP US ALL.
TZ, tunaenda wapi!
CCM kazi wanayo. Lazima wajipambambanue
kama kweli wako serious.
Crazy kivipi. Kajipigania kaweza. Ataka apiganie wengine. Naye ataka ubunge.Hana haki kwa kuwa ni msanii? Siasa ni sanaa au fani au wito au biashara?
Sasa huyu mbona bora sana kuliko Mganga wa kienyeji wa Korogwe,Kihiyo wa Temeke,Lusinde wa Mtera Vitu maalum wa Arusha na wengineo wasioweza hata kujieleza wenyewe kwa Kiswahili bila kutukana..
All the best Wema, hao wanaomsema hana elimu kwani wameambiwa kuwa lazima uwe na degree ndio uwe Mbunge? Kwani hicho ndicho kigezo kilichowekwa kwa mgombea? Mbona kuna Mkulima wa darasa la 7 kachukua form za kugombea urais wao hata habari hawana wako busy na matusi tu IG.
Wengi tu hata kina Sophia Simba wamesoma kwa kujiendeleza kielimu. Tena hapo mtu umeshakuwa mtu mzima unasoma huku unajua unataka nini kuliko hao wanaosoma sasa hivi wako matineja lakini most of them hawawezi hata kuconstruct a sentence inayoeleweka aidha iwe ya kiswahili au kiingereza.
Go girl sky is your limit, hao wanaokubeza na kukucheka leo iko siku watakuheshimu. You dared kitu ambacho wengi wanakiogopa including me, lol weka mimi mbali na career ya siasa.
Hahahahha safi sana elimu sio Kikwazo kwani katiba pendekezwa inasema mbunge anatakiwa ajue tu Kusoma na kuandika ccm haitoi kipaumbele sana kwenye elimu ukiwa mpiga debe mzuri hukosi kula yako mi mburula si ndo sie tutapiga kura.
Mmeambiwa viti maalumu. Hivyo keshateuliwa kuwa Mmbunge wa viti maalumu Chezea Wema Kuma weweeeeeee.
dah! hii sasa kali ....kwani sasa mtu akiamua kugombea si mumuache afanye yake? unajua most of us tunajudge books by their covers eeh! hujui akipata hicho anachotaka atafanya kipi ambacho kitakunufaisha hata ww unaempondakwa sasa. just try to keep calm soma alama za majira na nyakati kabla ya kusema jambo fulani. sometimes we need to use critical thinking ,someone might be the worst in the world but there i something good among those bad things. be real usiponde kisa yule anaponda usitukane kisa yule anafanya hivyo jaribu kufanya vitu with reasoning
@ team me a.k.a mimi
Post a Comment