Advertisements

Friday, August 21, 2015

Asalaam aleikum ndugu zangu, tunapenda kuwakumbusha kuungana nasi Jumamosi hii ya Agosti 22

Asalaam aleikum ndugu zangu, tunapenda kuwakumbusha kuungana nasi Jumamosi hii ya Agosti 22 kwenye kisomo cha arobaini ya mzee wetu marehemu Abass Khalfan Mang'ulo, itakayofanyika katika msikiti wa Al Baqi 148 Fort Pleasant Street, Springfield, Mass kuanzia saa 10 jioni mpaka saa tatu usiku. Ukipata taarifa hizi tafadhali waarifu na wengine. Kama ilivyo ada tunatanguliza shukran. Wabillah Toufiq.

No comments: