Thursday, August 20, 2015

PINDA ATETA NA MUSEVENI BAADA YA SHEREHE ZA SKAUTI NCHINI UGANDA

Rais wa Uganda Yoweri Museni akiongea na Waziri mkuu Mizengo Pinda katika sherehe ya Skauti kutimiza miaka 100 nchini Uganda. Kulia ni Waziri wa Jinsia Kazi na Maendeleo ya Jamii nchini humo, Hajatt Rukia Isanga Nakadama. Waziri Mkuu alimuwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika sherehe hizo
Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwa anateta jambo na Makamu wa Raisi wa Sudani Kusini, James Wani Igga ambaye aliwakilisha nchi yake katika sherehe hizo. Kulia ni afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, anayeshughulikia Itifaki, James Bwana. (Picha na Chris Mfinanga)

1 comment:

Anonymous said...

MUSEVENI NI MIONGONI MWA VIONGOZI WABOVU SANA WALIOBAKIA AFRIKA.