Mkutano Mkuu wa CHADEMA ulianza kwa kuimba nyimbo ya taifa
Shehe Rajabu Katimba akiomba Dua wakati wa mkutano mkuu wa CHADEMA uliofanyika leo
Mchungaji Zakaria Kakobe akitoa neno la mungu wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Naibu katibu Mkuu Zanzibar Mh. Salum Mwalim akifungua mkutano wa Baraza kuu uliofanyika leo
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh. Freeman Mbowe akisoma hutuba katika mkutano mkuu wakati wa mkutano mkuu uliofanyika leo kwenye ukumbi wa mlimani City jijini Dar
Makamu wa kwanza wa Urais Zanzibar Mh Maalimu Seifu akizungumza jambo ambapo alisema " Kwa uwezo wa Mwenyezi mungu tutaweza kuingoa CCM kwani watanzania wako tayari kuyafata mabadiliko.na pia Mpaka dakika hii sijapata barua ya Prof Ibrahim Lipumba kujiuzulu na mpaka jana saa 4 usiku nilikuwa nae na sikuona dalili zozote za kuonyesha kupishana na jambo hili kama jinsi ilivyoripotiwa na moja ya gazeti.
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia wakati anazungumza aliwauliza wajumbe wa mkutano huo kwamba mbona Mkutano Mkuu huu hauna magari ya washawasha na mabomu, Hii ni dhahiri kuonyesha kuwa imani imetawala ndani ya Chadema pamoja na UKAWA kuelekea safari ya uchaguzi Mkuu.
Mwenyekiti wa waalimu Mh. Graison Graison Mkoba wakati wa anazungumza kwenye mkutano mkuu wa chadema alisema " Niliambiwa na rafiki yangu mmoja afisa misitu kuwa ukiukata mti usiuzuei awache uporomokea kuelekea unapotaka hata kama unataka kupasua mbao ukiuzuia utakufa"
Na " Unapochemsha maji ili kumkimbiza chura itachukuwa muda chura kukimbia mpaka joto lipande kwenye maji ndio chura aondoke" hayo ndio maneno ninayowaachia wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA
Juma Duni Haji mgombea mwenza wa UKAWA kupitia CUF wakati anazungumza kwenye mkutano huo alisema "Nimechukua maamuzi magumu kama Mh Edward Lowassa ili Kuimarisha UKAWA."Mimi nimeanza siasa nikiwa form 2 mambo nilikuwa na afro shirazi party mambo yalivyobadilika na mm nikabadilika napata kustaajabu ninapomuona askari aliyotoka katika familia ya kimaskini anakabidhiwa silaha kuwalinda wananchi na badala yake anapiga mtoto wa kimaskini dhana ya kutafuta uhuru imepotea"
Mgombea wa Urais alieteuliwa na chama hicho, Mh. Edward Lowassa akiwashukuru wananchama wa CHADEMA kwa kumpokea na kuonyesha upendo wao na kuwaahidi kuwa atayakabili majukumu makubwa waliyomkabidhi.
Pia wakati anazungumza alisema "Niwaahidi kuwa tutafanya kampeni za kiistarabu sio kampeni za matusi na tutashinda kwa kishindo kikubwa. Niwaahidi watanzania kuwatumikia kwa hali namali na wategemee mabadiliko makubwa."
Mgombea wa Urais alieteuliwa na chama hicho, Mh. Edward Lowassa akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgombea Mwenza wake, Mh. Dkt. Juma Haji Duni
Picha ya pamoja ya wenyeviti, wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wanachi (UKAWA) Makamu wenyeviti na Naibu Makatibu wakuuwa wa Cahadema wakiwa na mgombea urais Edward Lowassa na mgombea mwenza Haji Duni kwenye picha ya pamoja
Wananchama wakiwa ndani ya mkutano
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema Taifa, Halima Mdee
6 comments:
This is not UKAWA 100%. Where is Prof. Lipumba and Dr. Slaa, the architects of original Ukawa? Ukawa is doomed and without the full support and participation of these two political icons, the party won't win the October presidential election, period.
Hon. Lowassa looks sick, the way I knew him, as an energetic man, looks so sick.
mbona lowasa anaonekana mnyonge hivyo jamani. au ukawa tayari wameshamkolimba msee wetu
chichemi chimumunyi chichemi, chinapita tu, chacha lowasa chinaonekana chigonjwa chana. chafikiri cha chichama chikubwa chatayari chimefanya chimavitu chake
Anonymous 4:43 you are right Lowassa kweli ni mgonjwa haswa lakini kuna watu nyuma yake ndio wanaomlazimisha agombee huo urais sifikirii kama ni uamuzi wake huo.
Wewe acha unafiki
August 5, 2015 at 10:34 AM
Anonymous Anonymous said...
Anonymous 4:43 you are right Lowassa kweli ni mgonjwa haswa lakini kuna watu nyuma yake ndio wanaomlazimisha agombee huo urais sifikirii kama ni uamuzi wake huo.
August 5, 2015 at 7:13 PM
Jk mgogwa tena mgogwa Na gongwa tunalijuwa
Mwacheni Lowassa
Mbona alipokuwa CCM hamkusema ugongwa wake
Post a Comment