ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 11, 2015

BI. SAMIA SULUHU AFUNIKA MKUTANO WA KAMPENI KIBAHA

WanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, ambapo mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi, Samia Suluhu (hayupo pichani) alihutubia.
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani leo.

Mmoja wa wasanii wa kugani mashairi akiwaburudisha wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, ambapo mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi, Samia Suluhu (hayupo pichani) alihutubia.
Mjumbe wa Kamati ya kampeni Taifa ya CCM, Anjela Kairuki, akizungumza kumnadi mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi, Samia Suluhu (hayupo pichani) kwenye mkutano wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe.
Kikundi cha akinamama wajasiliamali na utamaduni kutoka Temeke kikitoa burudani kwa umati na mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais,  katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi, Samia Suluhu (kulia) akizungumza jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani, Subira Mgalu katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe leo.
Aliyekuwa mbunge wa Nkenge na mjumbe wa kamati ya kampeni za mgombea mwenza wa CCM, Bi. Asumpta Mshama (katikati) akiwagawia zawadi ya kanga wanakikundi cha akinamama wajasiriamai cha Temeke katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe leo.
Vijana wakiburudisha umati wa wanaCCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe leo.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu (kulia) akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Kisarawe, Seleman Said Jafo (kulia) katikati ni mgombea udiwani, Mwishehe Mlao mkoani Pwani, 
Baadhi ya wagombea nafasi za udiwani CCM Jimbo la Kisarawe, mkoani Pwani wakitambulishwa katika mkutano wa kampeni. 
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi, Samia Suluhu (kulia) akipewa zawadi na baadhi ya akinamama mara baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe leo.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi, Samia Suluhu (kulia) akipewa zawadi na baadhi ya akinamama mara baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe leo.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi, Samia Suluhu (kulia) akipewa zawadi na baadhi ya akinamama mara baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe leo.
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani leo.
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani leo.
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani leo.
Msanii Snura (katikati) akitoa burudani kwa Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni leo.
Msanii Snura (katikati) akitoa burudani kwa Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni leo.
Wema Sepetu akizungumza na Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni leo.
Chipukizi wa CCM wakitoa burudani katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani leo.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Koka Francis (kulia) akizungumza jambo na mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais Bi. Samia Suluhu. 
Mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Bi. Samia Suluhu akipokea kadi ya CHADEMA toka kwa Katibu wa Hamasa Taifa wa CHADEMA, Bwana Nyakarungu (kulia) mara baada ya kujiunga CCM leo.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Koka Francis akimvalisha sare za CCM Katibu wa Hamasa Taifa wa CHADEMA, Bwana Nyakarungu mara baada ya kujiunga CCM leo
Kada wa CHADEMA na Katibu wa Hamasa Taifa wa CHADEMA, Bwana Nyakarungu (katikati) akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa chama hicho mara baada ya kukihama chama hicho na kwenda CCM na kuvalishwa sare za CCM.
Raha ujipe mwenyewe bana..! Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Koka Francis akijinasibu kwenye mkutano huo.
Kada wa CHADEMA na Katibu wa Hamasa Taifa wa CHADEMA, Bwana Nyakarungu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa chama hicho mara baada ya kukihama chama hicho na kwenda CCM na kuvalishwa sare za CCM.
Mgombea mwenza wa urais tiketi ya CCM, Bi. Samia Suluhu (katikati) akimtambulisha mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Koka Francis (kulia) katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani leo.
*Picha zote/www.thehabari.com

2 comments:

Anonymous said...

Sasa mama Samia kila unakopita unatuahidi mambo makubwa ambayo hata waliokuweka kugombea wameshindwa. Ndani ya ilani ya CCM hakuna litakalofanyika kwani ji lazima mfuate mkondo walioko wenzenu. Hatutarajii mbadilishe mfumo.ulioko ndani ya CCM na ndio maana tunasema mnaweza kuwa sio wabaya kiasi hivho ila kwa kuwa mmekubali kuilinda na kuitumia ilani ya CCM ya kulindana hatutarajii kubadilika kitu ni yale yale bora mmngekuwa wajanja kutuonyesha makucha makali ya kukomesha au kurejesha zile walizo hukilia kwa viroba na kuamka asubuhi unakuta milioni 80 kwenye account!! Mbona waTanzania walio wengi hawakukuta angalau sh. Elfu ishirini kwenye akaunti zao!! Na wako wengi hawaja semwa. Tatizo hapa sio wewe wala Dr. Wala EL kwani nako kuna vyama zaidi viko kwenye kampeni TATIZO ni CCM tuuh! Na ndiko.mliko ninyi walw waleeh!!

Anonymous said...

Katoka na Saturday dar bibi
Napenda kampeni za ccm
Mwanamke unapwewa kang, kitenge dila na mshiko 100000
Haloo ccm oyeeeeeeee bibi