ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 13, 2015

CCM ZANZIBAR WAZINDUA KAMPENI ZAO UWANJA WA DEMOKRASIA KIBANDA MAITI UNGUJA

Rais jakaya Kikwete akimkabidhi irani ya ccm, mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Dkt. Mohamed Shein, wakati wa mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za chama hicho uliofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti, mjini Unguja jioni ya leo. Picha na OMR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein wakionesha ilanui ya Uchaguzi ya CCM leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais mbele ya umati mkubwa sana katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia  leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.


6 comments:

Anonymous said...

Kawaida jamani tuacheni bwebwe

Anonymous said...

Mwaka huu CCM mmeshika adabu, na bado tukutane october 25

Anonymous said...

Lowasa baba ulipo tupo hata wakuchafue vipi, tutakusafisha wenyewe tarehe 25

Anonymous said...

Nyie mlie tu. Tarehe 25 Oktoba mtaiona Ikulu kwa mbali kama watalii tu pale CCM watakapotangazwa washindi.

Anonymous said...

Bahati mbaya wakati mnamsafisha mtu wenu huyo hiyo tarehe wananchi watakuwa tayari wameshatoa maamuzi ya kuirudisha CCM madarakani.

Anonymous said...

Na mjiandae kuomboleza, kwa sababu huyo fisadi wenu hana namna ya kushinda uchaguzi huu!