ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 17, 2015

Kabla barabara hii ilikuwa hivi kipindi cha mkoloni.

Barabara ya Dodoma – Manyoni (km 127) na Manyoni – Singida (km 118) kabla na baada ya ujenzi kwa kiwango cha lami. 

3 comments:

Anonymous said...

Mtapiga kampeni kila kona
Wetu in Lowassa we do t care sorry it's Lowassa
We need change we are feedup

Anonymous said...

CCM OYEE. Ni jambo la kujivunia kuchukua miaka 50 kuweka lami.

Anonymous said...

Kabisa ilimchukuwa Lowasa zaidi ya miaka 40 kujiunga na upinzani tena baada ya kuambiwa wewe ni fisadi hufai kuwa kiongozi mkuu wa nchi hii.