Mwanafunzi Denzel Deogratius Rweyunga akipokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi, Dr Selina Mathias wakati wa mahafali ya kumaliza darasa la saba yaliyofanyika jana St. Florence Academy Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Denzel Deogratius Rweyunga akiondoka jukwaa kuu kwa furaha baada ya kutunukiwa cheti cha kuhitimu darasa la saba na mgeni rasmi, Dr Selina Mathias ( katikati ). Kulia mwenye miwani ni mmiliki wa shule hiyo, mama Asey na mwenye suti ni mwalimu mkuu, Wilson Kakanga.
Mmoja wa wanafunzi wa St Florence Academy akijiandaa kupokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi, Dr Selina Mathias wakati wa mahafali ya wanafunzi wa darasa la saba katika shule ya St.Florence Academy, Mikocheni jijini Dar es Salaam jana.
Denzel akimlisha keki mdogo wake, Delbert
Wanafunzi walohitimu darasa la saba katika shule ya St. Florence wakipita mbele ya mgeni rasmi kuchukua vyeti vyao.
Wakati wa kuonyesha vipaji vyao
Hadi ngoma toka Pemba ilichezwa na wanafunzi hao
No comments:
Post a Comment