Yaani kweli wadau tunambwembwe. Hii ni kada muuza mashina anazidi kupambisha hoja yake huko Tanznaia aliko hii ni kusaka kupata hata ya uwakilishi. hakuna haja ya kujitangaza tunajua kila mpiga kura ana haki yake je leo kila mmoja wetu aanze kujianika kumsapoti fulani kweli uwanja huu utatutosheleza.!! kuwa muungwanah.
Watu wengine kwa kweli wanihitaji maombi ya nguvu. Mbona mpaka mnatia kichefuchefu!! Mmejitahidi kuuza sura lakini haziuziki, bora kaenei kimya, muendelee kubangaiza. Jamanai shule ni kitu muhimu sana. Magufuli na CCM walikataa pendekezo la uraia pacha ambao labda ungetoa nafasi kwa Wanadiaspora kupiga kura kwenye chaguzi za Tanzania. Uwezekano huo haupo, endapo CCM itaendelea kukaa madarakani, maana Katiba pendekezwa haina kipenegere hicho. Sasa ninyi mnajifaragua tu kiushabiki.
Sioni tatizo mtu kuwa muwazi anamsupport nani .. hata kama hatutapiga kura rais atakaechaguliwa ata affect maisha ya ndugu zetu wengi sana Tanzania. ...watanzania acheni negatively zisizokua na umuhimu. ...
8 comments:
Mtampigia kura kivipi? mume mmamrekani na mkewe ndo hivyo tena sijui kama atajumuika nasi siku ya kupiga kura.
WTZ tunamatatizo kama hujui kitu si ukae kimya.
njaaa kaka na bendera fuata mkumbo, kiki hazitafutwi hivyo. zinakuja zenyewe, maskini wanatia huruma.
Yaani kweli wadau tunambwembwe. Hii ni kada muuza mashina anazidi kupambisha hoja yake huko Tanznaia aliko hii ni kusaka kupata hata ya uwakilishi. hakuna haja ya kujitangaza tunajua kila mpiga kura ana haki yake je leo kila mmoja wetu aanze kujianika kumsapoti fulani kweli uwanja huu utatutosheleza.!! kuwa muungwanah.
Akili zenu kama hilo jina lenu.
Watu wengine kwa kweli wanihitaji maombi ya nguvu. Mbona mpaka mnatia kichefuchefu!! Mmejitahidi kuuza sura lakini haziuziki, bora kaenei kimya, muendelee kubangaiza. Jamanai shule ni kitu muhimu sana. Magufuli na CCM walikataa pendekezo la uraia pacha ambao labda ungetoa nafasi kwa Wanadiaspora kupiga kura kwenye chaguzi za Tanzania. Uwezekano huo haupo, endapo CCM itaendelea kukaa madarakani, maana Katiba pendekezwa haina kipenegere hicho. Sasa ninyi mnajifaragua tu kiushabiki.
Yani nyie kweli akili zenu matope matupu

Post a Comment