ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 5, 2015

MAMA SAMIA AITEKA KONGA JIONI HII

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi atika mutano wa kampeni uliofanyika leo, katika eneo la kwa Warioba, jimbo la Ukonga, Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).
Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo.
Wasanii waliopo katika kampeni ya Mama Ongea na Mwanao mpigie kura Dk. Magufuli, wakiwa kwenye mkutano huo

2 comments:

Anonymous said...

Ni vyema wapenda maendeleo na tunakoelekea tukapata yaliyo bora. Ila sasa ahadi zimezidi na sio tekelezi.! Hivi kweli Kibamba ikajengewe hospitali ya kisasa na vifaa vya kileo!! Kwanini basi hivyo vifaa visiwekwe kwa hospitali zetu za awali Mwananyamala na Temeke Ilala kunakopokea wagonjwa aina zote kila kukicha?? Daah kweli subira yavutana!!

Anonymous said...

Kila mkutano lazima uwe na ahadi inayohusisha gedha ina maana ilani ya CCM ni maEscrow tuu!! Kwani kama zilikuwepo mbona hazijafany kazi hizo badala yake zimeingiaa mifukoni mwa wachache kwa ukimyaa??