ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 5, 2015

MAMA SAMIA KATIKA MAJIMBO YA UBUNGO, KINONDONI NA KAWE

Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni aliofanya jana, Septemba 4, 2015, katika eneo la Msasani, jimbo la Kawe, jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika Septemba 4, 2015 katika eneo la Msasani, Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam
Aliyekuwa Spika wa Bunge wa Katiba, Samwel Sitta akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika Septemba 4, 2015 katika eneo la Msasani, Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam
Mdhanimi wa mali za CCM, Anna Abdallah akihutubia mkutano wa kampeni, uliofanyika Septemba 4, 2015 katika eneo la Msasani, Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam
Mbunge wa Afrika Mashariki, Angela Kizigha akiteta jambo na Mgombea Ubunge jimbo la Mtera ambaye pia ni Mjumbe wa NEC, Livingstone Lusinde, katika mkutano wa kampeni uliofanyika Septemba 4, 2015 katika eneo la Msasani, Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam.
  Wananchi wa wakimuaga Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, wakati akiondoka baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni, uliofanyika Septemba 4, 2015 katika eneo la Msasani, Jimbo la Kinononi jijini Dar es Salaam
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimwelekeza jambo, Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni, Iddi Azan wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Septemba 4, 2015 katika eneo la Msasani, Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam
Vijana wa hamasa wakiwa katika shamrashamra wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Septemba 4, 2015 katika eneo la Msasani, Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassa akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Ubungo, Dk. Didas Masaburi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Septemba 4, 2015 katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam.

5 comments:

Anonymous said...

Safari ya UKAWA ya kwenda Magogoni bado ndefu. Kuna tofauti kubwa kati ya watu wanaojumuika kwenye campaigns za CCM na zile za UKAWA. Kwenye campaigns za CCM hakuna shaka kwamba mafuriko yao ni mafuriko yanayotokana na wafuasi watiifu wa CCM. Hapo rangi za kijani na njano sio za kubahatisha. Kwa upande wa UKAWA, mafuriko yake ni mafuriko ya mashabiki wa msimu (yaani bendera-fuata-upepo) wasiokuwa na utiifu wowote.

Sina maana kwamba independents sio muhimu katika uchaguzi, bali ninamaanisha chama kinahitaji strong base ili kuweza kuwa na nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi.

Anonymous said...

Asante kwa kutuahidi hospitali ya kileo kujengwa. Tutaendelea kuvuta subira hadi 2025 kwani hata uwanja bado!! Miguu imechoka kusimama!

Anonymous said...

So what! Kundi la watu wengi walio na njano na green haimaanishi ni ushindi kwa ccm. Swali ni kwamba mmetuchosha kwa ahadi hewa kwa zaidi ya miaka 54. Kuwepo kwa kundi kubwa katika mkutano wa kampeni kwa green na njano sio ujanja mwaka huu mwanangu.

Anonymous said...

Anonymous wa kwanza endelea kujipa moyo,unafikiri watu wanauza nyago?mmejaribu kuwarubuni slaa na lipumba lakini bado watu wanakomaa hamjiulizi kwa nini?

Anonymous said...

This is laughable and wishful thinking, at best! Go ahead, allow your adrenaline to pour like monsoon rains and hate CCM all you want, but that is not enough! This is a function of base strength!

How can you even hate CCM and, at the same time, embrace ENL who was a CCM cadre for 40 years and never left CCM before his attempt to become the party's flagbearer failed in July 2015? How can you count on the most corrupt leader to rid you of poverty? Aren't these things ridiculously irreconcilable? Only lunatics can have such irreconcilable postures!