ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 11, 2015

Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Urais wa Chama cha CHAUMMA Komba Wapya Rahaleo.

Mgombea Urais kupitia Chama cha CHAUMMA Mhe Mohammed Masoud Rashid akiwasili katika viwanja vya Mkutano wa Uzinduzi wa kampeni yake katika viwanja vya Komba Wapya rahaleo kuzindua kampeni yake ya kugombea Urais wa Zanzibar. akiwasalimia Wananchi akiwapungua mkono.
Mgombea Urais kupiia Chama cha CHAUMMA Mhe Mohammed Masoud Rashid akiwa na viongozi wa Chama hicho wakati wa kampeni yake,
Katibu wa Wanawake Taifa Bi Salma Mohammed akizungumza wakati wa mkutano huo wa uzinduzi wa Kampeni ya Urais iliofanyika katika viwanja vya Komba Wapya Rahaleo 
Naibu Katibu Mkuu CHAUMMA Zanzibar Mhe Maulid Hamad akizungumza wakati wa mkutano huo wa Kampeni ya Uzinduzi iliofanyika katika viwanja vya komba wapya. 
Katibu Mkuu wa CHAUMMA Mhe Ali Omar akimwaga Sera wakati wa mkutano wa uzinduai wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Mohammed Masoud Rashid.
Mgombea Urais kupitia Chama cha CHAUMMA Mhe Mohammed Masoud Rashid akiwahutubia wananchi wakati wa mkutano wake wa kampeni baada ya kuzinduliwa jana

No comments: