ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 17, 2015

Harakati katika Mitaa ya Darajani Mjini Zenj

Wananchi wakiwa katika harakati za kujitafutia mahitaji yao katika maeneo ya mji wa Zanzibar kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika eneo maarufu la darajani wakiwa katika harakati zao za kila siku kujipatia mahitaji yao.

No comments: