Aliyekuwa mgombea uraisi ktk uchaguz mkuu wa Tz kupitia Chauma Hashim Rungwe amesema atakuwa ameibiwa kura nyingi sana,,, kwa sababu wanaompa pole ni wengi kuliko kura alizopata@
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Mbavu zangu mie Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Uwiiii! Asante, you made my day!
Uraisi usingeweza maana bado hujawajuwa Wabongo! Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Lol hana tofauti na wanaosema walikuwa na watu wengi kwenye mikutano ya campaigns kwanini washindwe uchaguzi watakuwa wameibiwa kura zao tu. Wamesahau yakwamba wingi wa maua sio wingi wa mazao . Mambo makubwa lakini ipo siku tutafika lol.
Ni kichekesho kitupu. Lakini ndiyo maana ya demokrasia inayompa kila mtu uhuru wa kuongea anachotaka hata kama anachoongea ni utumbo mtupu. Hongera zake, afterall yeye ni Rais wa Chauma. Nadhani madaraka hayo yanamtosha, ila ya nchi siyo wakati wake.
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteMbavu zangu mie Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Uwiiii!
Asante, you made my day!
Uraisi usingeweza maana bado hujawajuwa Wabongo!
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Lol hana tofauti na wanaosema walikuwa na watu wengi kwenye mikutano ya campaigns kwanini washindwe uchaguzi watakuwa wameibiwa kura zao tu. Wamesahau yakwamba wingi wa maua sio wingi wa mazao . Mambo makubwa lakini ipo siku tutafika lol.
ReplyDeletelol haha ha ha
ReplyDeleteNi kichekesho kitupu. Lakini ndiyo maana ya demokrasia inayompa kila mtu uhuru wa kuongea anachotaka hata kama anachoongea ni utumbo mtupu. Hongera zake, afterall yeye ni Rais wa Chauma. Nadhani madaraka hayo yanamtosha, ila ya nchi siyo wakati wake.
ReplyDelete