Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo
katika Ubalozi wa Ufaransa nchini kufuatia vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana
na mashambulizi ya kigaidi.(Picha na Ikulu)
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Balozi wa Ufaransa
nchini Tanzania Malika Berak kufuatia vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na
mashambulizi ya kigaidi.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Ufaransa
nchini Malika Berak Tanzania mara baada ya kusaini Kitabu cha Maombolezo na
kutoa salamu za pole kwa Rais wa Ufaransa Mheshimiwa Francois Hollande kufuatia
vifo vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya kigaidi.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wa pili akiwa katika picha ya
pamoja na Balozi wa Ufaransa (kushoto) pamoja na Maofisa mbalimbali wa Ubalozi
huo mara baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Ufaransa
nchini Tanzania Malika Berak mara baada ya kusaini kitabu cha Maombolezo
Ubalozini hapo.
No comments:
Post a Comment