Tuesday, November 24, 2015

WAHANDISI KUTOKA HALMASHAURI ZA MKOA WA PWANI WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO JNIA

Wahandisi kutoka Halmashauri za Mkoa wa Pwani wakiwa katika ziara ya mafunzo kwenye Jengo la Tatu la Abiria la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). (Na Mpigapicha Wetu)
Meneja wa wa Mradi wa Jengo la Tatu la Abiria la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Mhandisi Mohamed Milanga (wa pili kulia) akiwaongoza wahandisi kutoka Halmashauri za Mkoa wa Pwani waliokuwa katika ziara ya mafunzo. 

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake